Aisee DSTV!

Alikiba afunguka ” Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako” (+Video)

Alikiba afunguka " Sifanyi muziki kwa ajili ya tuzo pia naumia sana mtu anakutukania familia yako"

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Alikiba amefunguka mengi sana kuhusiana na muziki wake lakini pia kuhusiana na maisha yake kwa ujumla na kufunguka kwa kusema kuwa ” naumia sana ninapoona watu wanaitukana familia yangu kiukweli sio kitu kizuri”

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW