Alikiba akabidhiwa penseli na shabiki aliyekabidhiwa laki 5 na Diamond (Video)

Shabiki huyo alimuomba Alikiba kuacha kugombana na Diamond.

Katika kulijibu hilo Alikiba alisema kwa sasa hana ugomvi na Diamond lakini hawezi kushiriki kwenye matamasha ya muimbaji huyo kwa kuwa na yeye anashughuli zake nyingi za kufanya.

Pia hit maker huyo wa Aje amesema tayari alishamkatalia Diamond kushiriki kwenye matamasha yake lakini bado muimbaji huyo bado anaendelea kumtaja taja sana.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW