Burudani ya Michezo Live

Alikiba “Muacheni mke wangu hawahusu, yule ni wangu sio wenu” – Video

Alikiba "Muacheni mke wangu hawahusu, yule ni wangu sio wenu" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Ali Salehe Kiba alimaarufu Ali Kiba amefunguka na kuonyeshwa kukerwa na maneno yanayoendelea kuhusu watu kumzungumzia mke wake na kuwaambia Watu wanoendelea kumzungumzia kuwa:-

“Muacheni mke wangu hawahusu, yule ni wangu sio wenu”

Alikiba aliongea hayo akifanya Interview na Bongo5 na kusema haya:-

Killy wa kings music ataja nyimbo bora kwa mwaka 2019, “Alikiba anatulea kama wadogo zake “

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW