Burudani

Aliyekuwa mpenzi wa Barnaba ‘Mama Steve’ amtambulisha mpenzi mpya

Unamkumbuka mama Steve wa Barnaba Classic? Alhamisi hii amemtambulisha mpenzi wake mpya aitwae, Brown ambapo katika usiku wa Birthday Party ya Jack Wolper iliyofanyika Buckets Masaki Jijini Dar es salaam akikuja naye na kuonana na Barnaba ambaye siku hiyo alikuwa anatoa burudani kwenye party hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents