AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Ally Mayay atema cheche tukio la mwandishi wa habari kupigwa na polisi uwanjani ‘makampuni yatakimbia na mpira wetu utakufa’ (+video)

Mchezaji wa zamani wa timu ya Yanga na Mchambuzi wa michezo nchini Tanzania, Ally Mayay amefunguka kuhusu tukio la polisi kumpiga mwandishi wa habari, Silas Mbise.

Mayay amesema kitendo hicho kinachafua taswira ya mpira wa miguu na madhara yake ni makubwa kwani makampuni na wadau huenda wakajitoa kwenye uwekezaji.

Related Articles

4 Comments

  1. Ni kweli ila hatuna la kufanya kwa kua cc niwanyinge na kama hauto amini hiz habari zitaishia mtaandaoni hakuna hatuwa yoyote itakayo chukuliwa zidi ya kitendo hiko kikicho fanyika ivi mtu ame oigwa watu wanaona na walio mpiga wanaonekana hapo hapo una ambiwa uchunguz uta fanyika daa kiukweli ina sikitusha na cjawahi kusoma kipengere cha sheria cha polic kumpiga raia au kuna sheria mpya ya polic hii sio sawa ila hatuna jins tuta fanyaje

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW