Burudani

Amber Rose anawaza kuolewa na huyu jamaa

Kama video vixer Amber Rose, akiolewa kwa sasa basi rapper 21 Savage, ndiyo  jamaa atakaye pata zali hilo kutoka kwa mrembo huyo.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, mrembo huyo amebainisha kutamani kuolewa hasa na kijana 21 Savage kutoka Atlanta, ambaye waliweka wazi mahusiano miezi michache iliopita baada ya kunaswa  mara kadhaa na mapaparazi wakiwa zero distance.

“I just got back from Atlanta. I’m in love, I’m happy….I wanna marry him, but we’ll see,” amesema mrembo huyo baada ya kugoma kuongea ishu na Mama wa rapper Wiz Khalifa  amabye alidai mrembo huyo hamlei vizuri mjukuu wake Sebastian ndipo akasema ni bora niongelee mahusiano yangu ya sasa.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents