Burudani

Audio: Diamond sio husband material, ametembea na wengi sana – Hamisa Mobetto

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amedai mzazi wenzake Diamond Platnumz sio aina ya wanaume ambaye alikuwa anamwitaji katika maisha yake. Amedai muimbaji huyo ni mwanaume wa kutembea na wanawake wengi na hawezi tulia na mmoja huku akidai nchini Tanzania ametembea na wanaume wengi sana.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents