Burudani

Audio: Dj D-Ommy aachia ‘The Valentine Heart Felt Mixx Vol 2’

Dj D-Ommy wa Times FM ameachia mix mpya kwaajili ya Valentine’s Day.

Photo-2

Mix hiyo inaitwa ‘THE VALENTINE HEART FELT MIXX Vol 2’

“Kama utakumbuka mwaka jana ilitoka “THE VALENTINE HEART FELT MIXX Vol.1″ sasa huu ni muendelezo wa ya mwaka jana yanii Vol.2. Ni Mixing ya nyimbo kali za mapenzi kutoka katika kila pembe ya Dunia. Na hii ni mahsusi kwaajili ya siku ya Wapendanao yanii Valentine Day,” amesema Ommy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents