Tia Kitu. Pata Vituuz!

AUDIO: Harmonize ameachia wimbo wake wa ‘UNO’ Diamond Zari watajwa

AUDIO: Harmonize ameachia wimbo wake wa 'UNO' Diamond Zari watajwa

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize ambaye anamiliki lebo yake ya Konde Gang ameachia rasmi audio ya wimbo wake wa ‘UNO’

Lakini katika wimbo huo amewataja wasanii mbalimbli akiwemo aliyewahi kuwa boss wake Diamond Platnumz lakini pia aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond Zari mbali na hao pia Ray na Gwajima,na Fally Ipupa wametajwa kwenye wimbo huo.

Audio ya wimbo huo imefanywa na maproducer wawili ambao ni HUnter na Bonga.

By Ally Juma,

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW