Mtu akitoweka nyumbani kwake sisi hatuhusiki – Waziri kangi Lugola (+video)
Habari

Mtu akitoweka nyumbani kwake sisi hatuhusiki – Waziri kangi Lugola (+video)

waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi amesema kuwa mtu akitoweka nyumbani kwake wao kama wizara hawaingilii kwasababu kila mtu…
Viongozi Wakuu Chadema waiomba Mahakama Kuu ifanye marejeo ya mwenendo wa kesi (+video)
Habari

Viongozi Wakuu Chadema waiomba Mahakama Kuu ifanye marejeo ya mwenendo wa kesi (+video)

Maombi ya marejeo namba 126/2018 yaliyofunguliwa Mahakama Kuu Masjala ya Dar es Salaam na Viongozi Wakuu wa Chama na Wabunge…
Kamishna wa Magereza atimuliwa kikaoni na Waziri Lugola Kisa? (+video)
Habari

Kamishna wa Magereza atimuliwa kikaoni na Waziri Lugola Kisa? (+video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemfukuza kwenye kikao Kamishna Mkuu wa Magereza, Juma Malewa kwa kuchelewa.…
Waziri Lugola aagiza kushushwa vyeo Mkuu wa usalama barabarani na Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto (+video)
Habari

Waziri Lugola aagiza kushushwa vyeo Mkuu wa usalama barabarani na Mkuu wa Kikosi cha Zimamoto (+video)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ameagiza Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani, kumshusha cheo hadi…
Naibu Waziri wa ardhi ashuhudia maendeleo makubwa sekta ya nyumba Zanzibar
Habari

Naibu Waziri wa ardhi ashuhudia maendeleo makubwa sekta ya nyumba Zanzibar

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angeline Mabulla amefanya ziara katika kisiwa cha Zanzibar na kujionea Ujenzi…
Waziri Lugola avunja Baraza la Taifa la Usalama barabarani
Habari

Waziri Lugola avunja Baraza la Taifa la Usalama barabarani

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amelivunja rasmi Baraza la Taifa la Usalama Barabarani na mabaraza yote…
Picha: NEC walivyomuaga Kailima Ramadhani
Habari

Picha: NEC walivyomuaga Kailima Ramadhani

Tume Ya Taifa ya Uchaguzi(NEC) imemuaga aliyekuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa uchaguzi, Kailima Ramadhani anaeenda kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara…
NBS yashusha neema hii kwa watendaji wake
Habari

NBS yashusha neema hii kwa watendaji wake

Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) imekabidhi kompyuta mpakato (laptop) kwa Ofisi zake za mikoa ili kuimarisha utendaji kwa kuongeza…
LHRC yazindua kitabu cha uhuru wa kujieleza na kukusanyika Tanzania
Habari

LHRC yazindua kitabu cha uhuru wa kujieleza na kukusanyika Tanzania

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimezindua kitabu kidogo cha uchambuzi wa sheria zinazohusu uhuru wa kujieleza na uhuru…
Watumishi wa Muhimbili waaswa kutojihusisha na rushwa
Habari

Watumishi wa Muhimbili waaswa kutojihusisha na rushwa

Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imeendesha mafunzo ya siku mbili ambayo yamelenga kuwakumbusha watumishi wa hospitali hiyo kuzingatia sheria ya…
Maeneo ya msiba si sehemu ya kufanya siasa – Naibu waziri Mabula (+video)
Habari

Maeneo ya msiba si sehemu ya kufanya siasa – Naibu waziri Mabula (+video)

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula amesema si jambo jema watu kufanya siasa kwenye misiba…
Waziri Mkuu aiomba familia ya Mbunge Maji Marefu kuwa wavumilivu (+video)
Habari

Waziri Mkuu aiomba familia ya Mbunge Maji Marefu kuwa wavumilivu (+video)

Waziri Mkuu Kasim Majaliwa ameongoza mamia ya waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa mbunge wa Korogwe vijijini Steven Ngonyani aliyefariki dunia…
Mh. Hawa Ghasia, Mtulia, Chengeni waeleza walivyomfahamu Mbunge Maji Marefu (+video)
Habari

Mh. Hawa Ghasia, Mtulia, Chengeni waeleza walivyomfahamu Mbunge Maji Marefu (+video)

Baadhi ya Wabunge akiwemo Hawa Ghasia, Maulid Mtulia na Chengeni waeleza walivyomfahamu mbunge wa Korogwe vijijini (CCM), Stephen ngonyani (Prof.…
Hiki ndicho kilichomuua Profesa Maji Marefu (+video)
Habari

Hiki ndicho kilichomuua Profesa Maji Marefu (+video)

Katibu wa Bunge, Stephen Kigaigai, amesoma wasifu wa marehemu Mbunge wa Korogwe vijijini, Stephen Ngonyani(Majimarefu ) na kueleza ugonjwa uliomuua…
Mh. James Mbatia ampa pole Spika Ndugai kufuatia vifo vya Wabunge (+video)
Habari

Mh. James Mbatia ampa pole Spika Ndugai kufuatia vifo vya Wabunge (+video)

Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia ametoa pole Spika wa Bunge, Job Ndugai kufuatia vifo vya wabunge wa Tano…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents