Mahojiano

Baada ya Seven Mosha Baraka de Prince agombana na uongozi wake, Waanika madudu yake – Video

Aliyekuwa meneja wa @barakahtheprince_ @faky_junior amefunguka sababu zilizopelekea kuacha kufanya kazi na msanii wake “Sikusaini nae mkataba, alifuta kila kitu na kutoa kwenye bio ya Instagram bila kunambia kisa nilimtumia hela ya Uber”

@faky_junior pia amemshauri @barakahtheprince_ endepo atataka kufanya vizuri kwenye muziki na kuachana na utoto akue ndo atafanikiwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents