Burudani

Baada ya ubalozi wa Vodacom Mwana FA asaini deal nyingine kubwa na Samsung

Ukiwa haujapita hata mwezi mmoja baada ya kubainika kuwa kampuni ya Vodacom imemteua hitmaker wa ‘Kama Zamani’ Hamis Mwinjuma aka Mwana FA kama balozi wake, kampuni ya Samsung nayo imemteua kuwa balozi wa simu ya Samsung Galaxy 4.

4

Hafla ya kumtangaza Mwana FA kama balozi wa simu hizo zinazoshikilia nafasi ya pili kwa kuuza zaidi duniani baada ya simu za iphone, ilifanyika jana jijini Dar es Salaam. Pia Mwana FA alikabidhiwa Samsung Galaxy 4 yake na Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar.

Picha: Mdimuz Blog.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents