Michezo

Barcelona yaichakaza Real Madrid kipigo cha Mbwa koko, Suarez ageuka Messi uwanjani

Klabu ya Barcelona imefanikiwa kuwachabanga mahasimu wao Real Madrid goli 5-1 kwenye mchezo wa Ligi Kuu nchini Hispania (La Liga) .

Magoli ya Barcelona yamefungwa na Coutinho x1 na Luis Suarezx3 huku Arturo Vidal akitupia goli la 5 na Madrid wakipata goli la kufutia machozi kupitia kwa Marcelo.

Kwa matokeo hayo, Barcelona wanaongoza Ligi kwa pointi 21 wakifuatiwa na Atletico Madrid wenye alama 19 huku Real Madrid wakiwa nafasi ya 9.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents