Tia Kitu. Pata Vituuz!

Barnaba awashauri vijana haya, baada ya kwenda sokoni na kujionea bei za vitu mbalimbali (+ Video)Msanii wa muziki wa kizazi kipya Barnaba classic amefunguka mengi baada ya kwenda sokoni kununua bidhaa mbalimbali za ndani. Msanii huyo amefunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya kwenda sokoni nna kudai kwamba yeye huwa anaenda mara kwa mara.

Barnaba ameandika haya:- ” Mambo ya mwaka mpya hakika maisha yangu nayapenda Sana napenda kujichanganya napenda kujua hali halisi ya maisha kwetu mtaani Tulikotokea kwa mfano kuna vijana wa leo hawajui hata Bei ya Vitunguu/ Karoti / Hoho / ndimu Nyanya Hakika nimefurahi sana na sio kwamba Leo Tu Hapana mimi Uwa naenda Sokoni mwenyewe Mchaga Mbahiri 🏹😘😆 Mwaka mpya 2019 mambo mapya nimeanza na shopping ya sokoni 🙏🏿☄️🦅🛒🌋Yani Tuna #WASHA – system ya maisha na kila kitu upya #WASHA#HATUPASHIVIPORO”

By Ally JumaRelated Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW