Burudani ya Michezo Live

BASATA wafunguka ‘Roma na Stamina ni watu waajabu’ (Video)

Bazara la Sanaa Taifa (BASATA) limefunguka kukanusha taarifa ambazo zimeenezwa na Roma na Stamina kwamba waliitwa na kuhojiwa na baraza hilo kwaajili ya wimbo wao mpya uitwao Parapanda. Katibu Mkuu wa Basata Godfrey Mngereza amedai wasani hao waliitwa na baraza hilo kwaajili ya kuelekezwa mambo kadhaa kuhusu kazi zao kwa kuwa wao ndio walezi wa wasanii wote.

Related Articles

3 Comments

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW