Burudani

Basata walivyoizungumzia ishu ya Harmonize kutaka kuanguka ‘Ukitaka kuwa komando fanya mazoezi’ (Video)

Katibu Mtendaji wa @basata.tanzania Godfrey Mngereza amemsifia muimbaji @harmonize_tz pamoja na @diamondplatnumz kwa kuwa wabunifu kwenye show huku akizungumzia ishu ya rais huyo wa Konde Gang kutaka kuanguka.

Amesema hayo Jumatato hii kwenye ofisi za Baraza hilo Ilala Jijini Dar es salaam akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kuwakumbusha wasanii suala la kujisajili.

Mngereza amewataka wasanii kufanya mazoezi kabla awajafanya matukio ili kuepusha kasoro kama iliyotokea kwa Harmonize.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents