Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

BAWACHA wamtembelea Sugu magereza

Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amesema kuwa baada ya kumaliza Baraza la Wanawake Chadema(BAWACHA) baada ya kumaliza maadhimisho ya siku ya wanawake duniani yaliyofanyika jijini Mbeya walimtembelea Mbunge wa mkoa huo Joseph Mbili(Sugu) Magereza.

Halima Mdee ameeleza kuwa Mh. Sugu yuko imara sana na mama yake pia huku akiwashukuru watu wa mkoa wa Mbeya.

Baada ya BAWACHA KUMALIZA maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika kitaifa JANA JIJINI MBEYA. Siku ya leo tumeitumia kumtembelea SUGU MAGEREZA na hatimaye MAMA YAKE SUGU ‘KAMANDA DESDERIA’. Sugu YUKO IMARA SANA . Asante sana wana MBEYA,” ameandika Mdee katika ukurasa wake wa Twitter.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW