Burudani

BBM Tour: Young Dee na Q Boy wafanya show ya nguvu Kahama (Video)

BBM Tour ya Young Dee aka rapa Paka imefanyika kwa mara ya kwanza Jumatatu hii wilayani Kahama mkoani Shinyanga huku akisindikizwa na Q Boy Msafi pamoja waendesha pikipiki za maonyesho. Show hiyo ilihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na watu wa rika zote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents