Habari

Bebe Cool akumbana na ubaguzi wa rangi nchini Australia

BEBE COOL

Msanii kutoka nchini Uganda, Bebe Cool ambaye yupo ziarani nchini Australia anasema amekutana na ubaguzi wa rangi nchini humo kutoka kwa polisi wa kizungu.

Kupitia Facebook, Bebe Cool amesema polisi hao wa kizungu hawapendi kuwaona watu weusi wakiendesha magari ya kifahari.

Bebe Cool ameandika, “never rested yesto,got done with ma gig late,went back to hotel n strait ti di airpat by 6,flew to Brisbane ,very bumpy flyt due to storms,landed into den of racist cops,they dint like to c blacks in expensive cars”…sudaniz…we got worked n everyone lost thier temper,asked y they were mishandling us,the white female cop said that our colour was attracting alot of attention from them.Have not fed the whole day,in bad mood,alone in ma room,yet gat 2 hours to do the next gig,wud I be wrong to call for a bottle of tequila gold n mash it all!!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents