Habari

Belle 9 adai video ya wimbo ‘Give It To Me’ ndio video yake ya kwanza kufanya vizuri YouTube (Video)

Msanii wa muziki Belle 9 amefunguka kuzungumzia mafanikio ya wimbo wake mpya ‘Give It Tom Me’ pamoja na video ya wimbo kufikisha views wengi YouTube kuliko video zake zote.

Video ya wimbo huo ina views 965,186 ndani ya kipindi cha miezi miwili.

Muimbaji huyo alidai mabadiliko makubwa aliyoyafanya kwenye aina ya uimbaji ndiyo kitu pekee kilichoufanya wimbo huo kufanya vizuri zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents