Burudani

Beyonce and Kim Kardashian are Besties! Wasema marafiki

“No need to ring the alarm: Beyonce and Kim Kardashian are getting along just fine, thanks,” ni maneno yaliyoandikwa na mtandao Us Weekly.

Hii ni kutokana na ripoti mpya ya mtandao wa Radar Online inayodai kuwa Kim na Beyonce walizinguana kwenye tamasha la hivi karibuni la Budweiser Made in America.

Mtandao huo uliandika kuwa mke wa Jay-Z alirushiana maneno na Kim ambaye anadaiwa kuzing’ang’ania camera za crew iliyokuwa ikifanya documentary ya Jay-Z.

“That report is absurd. Indeed, the “I Was Here” singer “loves Kim,” and “there’s absolutely no beef, chanzo kimoja kiliuambia mtandao wa Us Weekly.”

Kwa mujibu wa chanzo hicho baada ya jambo la kweli lililotokea kwenye concert hiyo ni kwamba Beyonce alipomuona Kim alimkimbilia na kumkumbatia kisha warembo hao waliungana pamoja kwenye chumba cha kubadilishia nguo baada Beyonce ya kumwangalia mumewe akitumbuiza.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents