Burudani

Big Nuz wasitisha show ya Zimbabwe kwa hofu ya kushambuliwa

Kundi la Kwaito la nchini Afrika Kusini, Big Nuz limelazimika kusitisha show yao iliyokuwa ifanyike jana mjini Bulawayo, Zimbabwe ili kujikita katika jitihada za kumaliza mashambulio dhidi ya raia wa kigeni kwenye jimbo la KwaZulu Natal.

1125327_935155

Kwa mujibu wa gazeti la serikali la Zimbabwe, The Herald, kundi hilo limekuwa likipokea vitisho kutoka kwa rais wa Zimbabwe.

Big Nuz si wasanii pekee wa nchi hiyo waliopokea vitisho kupitia mitandao ya kijamii.

Rapper Cassper Nyovest naye alitishiwa maisha yake ikiwa anajiandaa kwa ziara yake ya Zimbabwe April 25.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents