Burudani ya Michezo Live

Bill Gates aeleza alivyojisikia kutajwa na Beyonce kwenye wimbo wake Formation

Kwenye wimbo wake mpya, Beyonce anaimba: I might just be the black Bill Gates in the making.”

bill-gates-jpg

Bill Gates ambaye ni mtu tajiri zaidi duniani amedai kuwa aliambiwa na mfanyakazi wake kwenye email kuhusu maishari hayo.

“I said, ‘Are you serious? This is kind of a strange set of words here.’ I’m surprised,” alisema kwenye mahojiano na Wired.

“I guess it’s nice that people consider me successful,” aliongeza.

Gates, ambaye hajawahi kukutana na Queen Bey, amewahi kukutana na Jay Z.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW