BurudaniUncategorized

Bill Nass akana kuwa na mahusiano na Nandy

Rapper Bill Nass amekanusha vikali kuwa na mahusiano na msanii mwenzake Nandy.

Bill Nass ambaye leo ametambulisha ngoma yake mpya ya ‘Sina Jambo’ amekiambia kipindi cha XXL cha Clouds FM, yeye na Nandy sio wapenzi na hawana ushikaji wa kusema wawe katika mahusiano.

“Nandy sio mpenzi wangu na pia mimi sio mshijai wangu kama ilivyo kwa Shishi, yaani sijapita pia kwa Nandy kabisa,” amesema Bill Nass

Kwa muda sasa kuna taarifa zimesambaa mitaani kuwa wakali hao kutoka kiwanda cha muziki Bongo wamekuwa katika mahusiano ya kimapenzi kitu ambacho wote wamekuwa wakipinga.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents