Burudani
Billnass aonyesha jeuri ya pesa, amjaza noti Nandy (Video)
Rapa @billnass ameonyesha jeuri ya pesa kwa kumtunza mpenzi wake @officialnandy ambaye alikuwa anafanya show katika ukumbi wa Royal Village jijini Dodoma.