Aisee DSTV!

BREAKING: Mnyama Simba SC apangiwa na wababe wa DR Congo, TP Mazembe robo fainali ya klabu bingwa Afrika

Klabu ya Simba kutoka Tanzania jioni ya leo imepangiwa kucheza na TP Mazembe ya DR Congo kwenye hatua ya Robo Fainali ya michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika. Tazama droo nzima hapa chini

Simba wataanzia nyumbani, na mchezo utapigwa kati ya tarehe 5 na 6 Mwezi Aprili, 2019.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW