Habari

Bulaya aibuka mshindi kesi ya uchaguzi

Mahakama kuu kanda ya Mwanza imetupilia mbali kesi ya uchaguzi ya kupinga ubunge wa Bunda mjini na kumpa ushindi Ester Bulaya wa Chadema.
esteeeerr

Baada ya Mahakama kutupilia mbali kesi hiyo Mbunge huyo wa Bunda Mjini kupitia facebook ameandika:

“Nimemshinda Wasira kwa wananchi na leo nimemshinda mahakamani mahakama imetupilia mbali kesi yake dhidi ya. Ushindi wangu”

Kesi hiyo ya kupinga matokeo ya uchaguzi ilifunguliwa katika Mahakama Kuu kanda ya Mwanza lakini ilikuwa inasikilizwa Mjini Musoma.

BY: EMMY MWAIPOPO

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents