Habari
CCM imepoteza pumzi – Bavicha (+video)
EXCLUSIVE: Mwenyekiti wa Baraza la vijana Chadema(Bavicha) amesema kuwa Chama cha Mapinduzi kimeishiwa pumzi, pumzi wanayoitumia ni kulindwa na vyombo vya dola huku akieleza kuwa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema hakitakufa kwa hapo kilichofika.