Habari

Chadema haitafutika na hakuna mtu atakayeifuta – M/Kiti Bavicha (+video)

Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa(Bavicha), Patric Sosopi amesema kuwa wanaijua mikakati inayopangwa na Msajili wa vyama kuifuta Chadema, ameeleza kuwa Chama hicho hakitakufa wala kufutika na hakuna mtu atakayekifuta.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents