Habari

Chadema kufanya mikutano Dar nzima (+video )

Mwenyekiti Chadema Taifa, Freeman Mbowe ametangaza kuitisha kufanyika kwa mikutano nchi nzima baada ya kutoka gereza la Segerea na kuachiwa kwa dhamana jana. Mbowe ameyasema hayo akiongea na wanachama wa CHADEMA Mkoa wa Dar es Salaam Makao makuu ya Chama hicho yaliyopo kinondoni jijini Dar es salaam.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents