Burudani

Chege na Temba kurudi tena South kurekodi ngoma, video itafanyika Dubai

Baada ya kuachia video ya ‘Kaunyaka’, Chege na Temba wanatarajia kwenda tena nchini Afrika Kusini kuandaa kazi mpya.

temba n chege

Chege ameiambia Bongo5 kuwa video ya wimbo huo watakaorekodi Afrika Kusini wataenda kuifanyia nchini Afrika Kusini.

“Wakati tunaenda kufanya project yetu South tulitengeneza mazingira ya kwenda kufanya show Dubai, kwahiyo tulivyopata mwaliko Dubai tukaona sio kitu kibaya kufanya show na kufanya video kule,” amesema Chege.

“Gharama hazitakuwa kubwa sana ndo maana nikasema tumeamua kufanya video kule baada ya kupata mwaliko wa kufanya show.”

Chege amedai kuwa mashabiki wategemee project tofauti na zile walizozoea kufanya.

“Tumeanza na project hii ya kwanza ya South na wategemee project zote zinazokuja zitakuwa ni Tofauti na zile tulikuwa tunafanya.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents