Burudani

Chidi Benz azungumza kilio chake, ‘natoa ngoma hazigongwi,no shows’

Bongo Flava market is now a beast! Kila msanii analalamika kuanzia Profesa Jay, Lady Jaydee na sasa Chidi Benz. Nani mwenye unafuu?

f98b6a3cd453a2f392531e3ca5873e86

Leo hit-maker huyo wa Dar Standup amewasilisha kilio chake kupitia Twitter kama ifuatavyo:

Wasanii wengi waoga kutokana na hali halisi ya maisha waliyotoka,sio wa kuchekwa.wasanii wengi wanafiki koz hawajiamini kiuwezo binafsi.

Redio zina wasanii wanaowashikilia,Redio sio yako so eiza jiunge nao au achana nao.wengi sio wakali wanatengenezwa na wanahitaji hilo.Njaa

Natoa ngoma hazigongwi,no shwz,hakuna chcht but utaskia kapigana mgomvi habadiliki,mimi ambae nimefanya kazi na wasanii woote?nawapigaje?

Mimi ni msanii wa kwanza kukusanya wasanii wengi sehem moja,tulikua na nguvu na naenda nao kokote.wadau wakaogopa wanajua nina uwezo.wanajua

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents