Chris Dizzo: Msanii wa Burundi aliyetajwa kwenye Kora 2012 kwa nyimbo zake za Kiswahili fasaha

Chris Dizzo ni msanii kutoka nchini Burundi anayefanyia kazi zake za muziki jijini Cape Town nchini Afrika Kusini. Mwaka jana alitajwa kuwania tuzo za Kora kwenye kipengele cha Best Male East Africa.
528030_414381001951269_1792816077_n
Msanii huyo huimba nyimbo zake kwa Kiswahii, Kiingereza na Kifaransa.

Msikilize hapa alipohojiwa na Radio France International kwenye makala iitwayo Muziki Ijumaa akielezea zaidi muziki wake.

[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/80334562″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Hivi karibuni ameachia wimbo mpya uitwao Nimedata na amemshirikisha mwanadada Chanelle.

[soundcloud url=”http://api.soundcloud.com/tracks/80333799″ params=”” width=” 100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents