Burudani

Christian Bella na Alikiba watua Afrika Kusini kuandaa video ya ‘Nagharamia’

Christian Bella na Alikiba tayari wameshatimkia nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuandaa video ya wimbo wao mpya, ‘Nagharamia.’

Bella

Hivi karibuni Bella aliambia Bongo5 kuwa walishindwa kuutoa wimbo huo kutokana na ratiba zao kutofautiana. Na sasa kupitia ukurasa wa Instagram, Bella amepost picha na kuandika: Nagharamia video loading.’

Mashabiki wa wawili hao wamekuwa na kiu kubwa ya kuusikia wimbo huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents