Burudani

Collabo ya Diamond na P-Square ipo tayari na pande zote zinaipa uzito!

Diamond Platnumz na P-Square wako njiani kusumbua amani katika kiwanda cha muziki barani Afrika.

11241339_1585264481744826_801327119_n

Collabo yao ambayo tayari imekwishakamilika inatarajiwa kuachiwa hivi karibuni.

Diamond ameshare picha akiwa studio na mapacha hao wa kundi hilo, Peter na Paul Okoye ambayo huenda ni ya wiki kadhaa zilizopita.

“Tafadhali mkiwa Tayari naomba mnambie niiachie, DIAMOND ft P-SQUARE, #MISISAIZIYAKONTAKUPWELEPWETABURE @rudeboypsquare @peterpsquare,” ameandika Diamond.

Si Diamond pekee mwenye furaha na collabo hiyo, bali na P-Square pia.

Peter amepost pia picha hiyo na kuandika: My African people, you asked for it and it’s coming to you soon,” huku Paul akiandika: Hmmmmm…..something is cooking.”

Mashabiki wao wamepokea habari hizo kwa furaha kubwa!

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents