Habari

Dar ni foleni kali ya magari, mgomo wa madereva wa daladala na mvua (Picha)

Wakazi wa Dar es Salaam leo wamekiona cha mtema kuni baada ya kero zaidi ya tatu kuunganika na kuleta usumbufu mkubwa.

20150504105124
Mgomo wa madereva wa magari abiria, umewafanya wananchi wengi ama kutumia gharama zaidi ya kufikia maeneo waliyokuwa wakienda kwa kutumia bodaboda na bajaj au kutembea kwa maguu.

Kumeshuhudiwa misululu mikubwa barabarani ya wakazi wa Dar wakitembea kwa mguu kutokana na mgomo huo. Kama haitoshi mvua iliyoanza kunyesha tangu asubuhi nayo imesababisha misululu mirefu ya magari katika maeneo mengi ya jiji.

foleni5

Foleni hiyo imekuwa kali zaidi kuanzia jioni. Hizi ni baadhi ya picha za foleni hiyo.

20150504105040

foleni 4

foleni

foleni2

foleni3

hhh

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents