Habari

Dar yakumbwa na uhaba mkubwa wa mafuta

Kwa mara nyingine tena jiji la Dar es Salaam limekumbwa na uhaba mkubwa wa mafuta kwenye vituo vya kuuzia mafuta.

Kwa mujibu wa ITV Baadhi ya magala ya kutolea Mafuta yamesitisha kutoa huduma hiyo kutokana na kuwa na shehena ndogo ambapo mamlaka ya udhibiti wa huduma za nishati na maji imekiri hali kuendelea kuwa mbaya.

Hii ni video ya ITV inayoelezea uhaba huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents