Michezo

David Moyes kuwa kocha wa Real Sociedad ya Hispania?

Klabu ya Hispania, Real Sociedad imemfukuza kocha wao Jagoba Arrasate siku ya Jumapili baada ya kufungwa na Malaga siku ya Jumamosi. Chaguo lao la kwanza kuziba nafasi hiyo ni kocha wa zamani wa Manchester United na Everton, David Moyes.

david-634x360

Moyes kwa sasa yupo nchini Qatar, ambapo anafanya kazi BeIN Sports, na inaeleweka kuwa anafikiria nafasi hiyo.

David Moyes 51, anafahamu kuwa ana tahadhari kubwa kwani anajua kazi ijayo inahitaji mtu sahihi baada ya kipindi kigumu cha miezi 10, Old Trafford.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents