Burudani

Daxx Cruz atamani kuigiza akiwa Hollywood

By  | 

Mwanamitindo wa kimataifa kutoka Bongo Daxx Cruz ameonyesha matamanio yake ya kutaka kuwa muigizaji filamu hasa Hollywood.

Kupitia mtandao wa Instagram, Daxx ameposti picha akiwa na mtayarishaji filamu ya Expendable, Alsan Saltik na kuandika.

“Daaahh maisha haya bhana…Unaweza kukutana na mtu wala hata usijue ni nani..Ona sasa nimekutana na Producer wa ile Movie ya Expendable huyu jamaa ndio Producer anakwenda kwa Jina la Alsan Saltik,” ameandika kwenye picha hiyo.

“Dahhh Mungu huyu anamakusudi yake Thanks ZIFF Huwezi Jua nami niwaweza kutokea kwenye movie za Hollywood siku moja…Siongei san just go and Google him @idrissultan tutakuana tu huko Hollywood ..I met Hollywood Movie Producer of Expendable Movie,” ameongeza.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments