AFCON 2019 Tupogo!
Vodacom Data Datani!

Daz Baba awacharukia wasanii wanao-copy na kuimba kwa kufanana (+ Video)

Msanii mkongwe wa Hip Hop katika tasnia ya Bongo Fleva Daz Baba alimaarufu Daz Mwalimu afunguka mengi kuhusu muziki wa Bongo Fleva.

Mbali na kuongelea muziki wake lakini pia amewacharukia wasanii wanaoharibu muziki kwa kuimba kwa kufanana na kudai kwamba ni kitu kinachoharibu muziki, Daz Baba amefunguka hayo wakati anapiga stori na Bongo5.

Msikilize Daz Baba:-

By Ally Juma.Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW