Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

DC Njombe amkabidhi Bajaj mshindi wa promosheni ya Shinda na SportPesa

Promotion ya Shinda na SportPesa inayoendeshwa na Kampuni ya Kubashiri michezo ya SportPesa imeendelea kuwanufaisha watanzania baada ya November 13 mwaka huu Yusuph Ramadani (28) kutoka Makambako mkoani Njombe kujishindia Bajaj yake mpya aina ya TVS King.

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi. Ruth Msafiri akimkabidhi mshindi zawadi  ya bajaji aina ya TVS King Deluxe aliyoipata baada ya kuweka ubashiri kupitia SportPesa. Mshindi anajishughulisha na ujenzi wa kujitegemea.

Yusuph Ramadani (28) kutoka Makambako Iringa ndiye mshindi wa droo ya 19 katika promosheni ya Shinda na SportPesa iliyofanyika Novemba 13.

Yusuph ameshinda Bajaj hiyo mpya baada ya kujiunga na SportPesa kupitia www.sportpesa.co.tz pamoja na kuanza kubashiri mechi mbalimbali za kimataifa zinazoendelea.

Ili na wewe ushinde anza kwa kujisajili kwa kutuma neno GAME kwenda 15888, Bashiri mechi husika na kisha tuma neno SHINDA kwenda 15888 ili uingie kwenye droo ya kushindania Bajaj,  Jezi na tiketi ya kwenda Uingereza kushuhudia mechi kali live za EPL.

SportPesa kupitia promotion hiyo wanatoa bajaj 100 kwa washindi 100 kila siku kwa kipindi cha miezi mitatu ambapo mpaka sasa  tayari bajaj 20 kati ya 100 zimeshatoka na washindi wamekabidhiwa.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW