Burudani

Diamond alivyotua kwa ndege Sumbawanga na kuibua shangwe Wasafi Festival (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Nasib Abdully alimaarufu Diamond Platnumz aibua shangwe kwa mashabiki wa burudani katika tamasha la Wasafi Festival,Sumbawanga baada ya kutua kwa ndege. Msanii huyo ametua Sumbawanga akiwa na timu mzima ya wasanii watakaoenda kuperform katika tamsha hilo wikiendi hii, Ikumbukwe kuwa Sumbawanga itakuwa ni sehemu ya nne ambayo tayari imetembelewa na tamasha hilo kubwa kabisa nchini:-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents