Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Diamond kuachia albamu hivi karibuni

Mkali wa Bongo Flava Diamond Platnumz ametangaza ujio wa albamu yake ya ‘A Boy From Tandale’ hivi karibuni.

Diamond aliyenyakuwa tuzo ya muziki ya Afrimma hivi karibuni kupitia kipengere cha ‘Best Male East Africa’ ametangaza ujio wa albamu hiyo ambayo itakuwa ya tatu katika maisha yake ya muziki.

“ALBUM SOON COME… #ABoyFromTandale ???,” amendika msanii huyo kupitia mtandao wa Instagram.

Kwa sasa mkali huyo yupo pande za USA
anashoot video na big boss wa Maybach Music Group mtu mzima Rick Ross huku ngoma yake ya ‘Hallelujah aliyoshirikisha Morgan Heritage okizidi kufanya vizuri katika chat mbalimbali za muziki ikiwemo ya kituo cha BBC Radio 1Xtra ya nchini Uingereza ambapo inakamatia namba moja.

Pia ngoma hiyo imeweka rekodi ya kufikisha views milioni moja ndani masaa 15 huku ukiongoza kwa wiki moja mfululizo katika trending ya YouTube Tanzania.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW