Habari
Rais Magufuli afanya mazungumzo na kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia duniani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya mazungumzo na kiongozi wa Jumuiya ya Ismailia duniani, H.H. Prince Karim al-Hussayni Aga Khan alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo.
Taarifa kamili.