Burudani ya Michezo Live

Diamond Platnumz aachia video ya wimbo aliyoshirikiana na mpenzi wake Tanasha “GERE” – Video

Diamond Platnumz aachia video ya wimbo aliyoshirikiana na mpenzi wake Tanasha "GERE" - Video

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na C.E.O wa WCB Diamond Platnumz kupitia akaunti yake ya Instagrama ameachia video alishirikiana na mpenzi wake Tanasha Donna.

Wimbo huo ulifanywa na Producer Lizer kutoka WCB na video yake kufanywa Director Kenny kutoka Zoom Production inayosimamiwa na Diamond ukijulikana kama “GERE” Ingawa inaonyesha wimbo huo Diamond ndio kashirikishwa na Tanasha Donna.

By Ally Juma.

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW