Burudani

Diddy akamatwa na polisi kwa kumdunda kocha wa mpira

Diddy amekamatwa na polisi kwa kudaiwa kupigana na kocha football wa chuo kikuu cha California, UCLA.

Tt7pTQvJ

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, polisi wa chuo hicho walimkata rapper huyo tajiri jana.

Mtoto wa Diddy, Justin Combs anachezea kwenye timu ya UCLA. Kocha msaidizi alikuwa akimkalipia Justin uwanjani na Diddy hakupenda kiasi cha kumfuata na kutaka kumdunda.

Anaendelea kushikiliwa kwenye kituo cha polisi cha chuo hicho.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents