Habari

DJ Choka Apata Mtoto Wa Kiume, Congrats!

Dj Choka

Well,leo ni one of the best days ever kwa Blogger pamoja na Dj maarufu wa bongo Flava na Hip Hop ya Kitanzania, Dj Choka, ambaye mapema leo, yeye na Baby mama wake wamejaaliwa mtoto wa kiume.

Kwa mujibu wa Tweet ambayo ameipost asubuhi hii, Choka ameelezea furaha yake na pongezi zake kwa baby mama wake ambaye amempatia toto dume.

Hongera nyingi na pongezi za kutosha kutoka kwa team bongo5 to Choka na his new family.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents