Burudani

Dj Khaled aonyesha cover nyingine ya ‘Grateful’

By  | 

Dj Khaled anazidi kuteka vichwa vya habari kila kukicha – Rapper huyo ameonyesha over nyingine ya albamu yake mpya ‘Grateful’.


Cover nyingine ya album hiyo

Kwenye cover hiyo mpya Khaled ameoaonekana akiwa na mwanae Asahd wakiwa wamepigilia suti zinayofanana rangi huku pembeni ya kiti cha Asahd kukiwa kuna simba mdogo.


Cover ya kwanza ya albamu hiyo

‘Grateful’ ni moja kati ya albamu zinazosubiriwa kwa hamu na mashabiki kutokana na kuwakutanisha mastaa kibao ndani yake akiwemo Jay Z, Beyonce, Alcia Keys, Nas, Travis Scott, Rihanna, Niki Minaj, Chance The Rapper na wengine.

Albamu hiyo inatarajiwa kutoka Ijumaa ya Juni 23 ya mwaka huu.

Na Laila Sued

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments