DStv Inogilee!

Dully sykes afunguka kuhusu kukataliwa kolabo na alikiba kisa Diamond (+Video)

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Dully Sykes afunguka mwanzo mwisho kuhusu muziki wake na bongo Fleva kwa ujumla pamoja na kolabo/project anazotarajia kuzitoa siku za hivi karibuni. Msanii huyo akipiga stori na bongo five alisema hayo lakini pia alifunguka kuhsusu utumiaji wa majina mengi unavyoendelea kuweka kwenye ramani ya muziki , lingine pia aliloliongelea ni kuhusu kumsaidia mtoto wa Dudu Baya na yale maneno ambayo Dudu Baya aliongea kuhusu yeye kwamba hakumpa taarifa kuhusu kumchukua mwanae.

Msikilize Dully :-

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW