Burudani ya Michezo Live

Elton John amchana Janet Jackson kwa kutotumbuiza live

Elton John amemshambulia Janet Jackson.

rs_1024x759-160225080040-1024.Janet-Jackson-Elton-John-JR-022516_copy

Kwenye mahojiano ya hivi karibuni na jarida la Rolling Stone, muimbaji huyo aliyewahi pia kuwa na bifu ya miaka mingi na Madonna, amedai kuwa Janet haimbi live.

“I say what I feel. I probably went too far with Madonna, and I got very personal and I wrote her – she was very gracious,” John, 68, aliliambia jarida hilo.

“You know, f—ing music magazines writing a review of Janet Jackson saying, ‘This is the greatest show – four and a half stars’,” aliendelea.

“If it’s f—ing lip-synced! Hello! That’s not a show! I’d rather go and see a drag queen. F— off.”

Jackson, 49, kwa sasa yupo kwenye ziara yake, Unbreakable World Tour, baada ya kuachia albamu yake ya 11.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW